Unaweza kuwa miongoni mwa waliopata habari kuwa Baba mtakatifu au Papa lwa lugha nyingine kwamba ana mpango wa kufuta Biblia Takatifu, ukweli upo hapa. Leo utapata ukweli wa habari hii na sababu zote ambazo utaamini ukweli huu.
Ili uweze kusoma ukweli wote fanya kifuatacho.
2.Log in kama hujalog in tweeter au facebook Kisha bonyeza post to facebook au tweet hapo hapo sehemu hii hapa chini itafunguka ili usome ukweli wote.
“On 2 April 2018, ThereIsNews.com published an article which appears to report shocking news for the Catholic church — Pope Francis had “cancelled” the Bible, and is proposing the creation of a new holy book:”
Hapo juu ni mtandao ulioandika habari hiyo kwa mara ya kwanza ikisema kwamba baba mtakatifu amefuta biblia Takatifu na kupendekeza kitabu kingine kitakatifu
“Pope Francis has surprised the world today by announcing that The Bible is totally outdated and needs a radical change, so The Bible is officially canceled and it’s announced a meeting between the highest personalities of the church where it will be decided the book that will replace it, its name and its content. Some names are already being considered and the one that has more strength is “Biblia 2000”.”
Aliendelea kusema baba mtakatifu ameshangaza dunia kwa kutangaza kwamba biblia imepitwa na wakati, kuna haja ya mabadiliko ya haraka. Hivyo biblia imefuta rasmi na mkutano wa viongozi wakubwa wa dini umeitishwa kupendekeza kitabu kingine na jina la kitabu hicho limeshapendekezwa kitaitwa Biblia 2000.
Mpenzi msomaji habari hizi si za kweli Baba mtakatifu haafuta biblia wala hakuna mpango wa kufuta Biblia, Huo ni uzushi uliozushwa na mtandao husika kwa malengo ya utani kama ilivyo siku ya wainga Dunian tarehe 1 mwezi wa 4 kila mwaka. Pole kama ulisitushwa na habari hii.