Habari za majukumu, Kila mtu ana ndoto za kuwa Tajiri au kupata vitu anavyovitaka muda wowote saa yoyote. Sasa bila kuwa na mbinu za kutafuta pesa unaweza kujikuta miaka inaenda hakuna unachofanikisha kati ya vyote unavyovitamani.
Wapo waliotumia mitandao kujiajiri kama blogs Apps you tube channel biashara za forex, bitcon na hata kuajiriwa mitandaoni kwa kufanya kazi ya kuandika makala na wanalipwa.
Sasa wewe unaweza kuwa umekosa fursa hizo lakini bado nikwambie una fursa kubwa unaweza kuitumia kwa kutumia akaunti yako ya twitter, Istagram, au whatsapp, facebook siipendelei sana. Hapa umefundishwa mbinu zote za kuingiza laki 5 na zaidi kwa kutumia twitter account instagram account na whatsapp.
Sasa ili uweze kusoma na kufuatilia mafunzo haya unatakiwa kushare makala hii facebook au twitter. Makala hii siku za mbeleni itauzwa bila sh 1900 mtu hata soma hapa lakini wewe unasoma bure hivyo changia kwa kuipost kwenye facebook account yako au twitter kwa kutweet hapo kwenye kibox na itafunguka na utaisoma mbinu zote za kutengeneza laki 5 kwa twitter.
kwa kushare/kutweet sasa makala yako imefunguka unaweza kuendelea kuisoma bure mpaka mwisho.
Kuna vitu unavyo lakini hujajua kuwa unavyo. Kuna vitu ambavyo ukiwafanyia watu hakika kila siku watatamani wawe karibu na wewe au wasikie unasema nini. Umekuwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii muda mrefu umeunganishwa na watu wengi au bado hujaunganishwa na watu wengi kwakua hujajua faida ya kuwa connected na watu wengi hata usio wajua.
Leo hii naanza kukufundisha jinsi unavyoweza kuingiza pesa nzuri kwa kutumia mtandao wa twitter. Maelfu ya watu duniani wanafaidika kwa kutengeneza pesa kwa mtandao wa twitter,
Twitter ni mtandao wa kigeni unamilikiwa na watu wa nje ya Tanzania lakini watumiaji ambao umeunganishwa nao yaani wanaokufollow na watakaokufollow ni Watanzania. Twitter ni mtandao ambao hauna masharti makubwa ya kufungiwa account kwa kutangaza vitu vingi kwa mara moja kama facebook.
Watumiaji wa mtandao wa twitter mara nyingi ni watu maarufu na wafanya biashara sio maskini kama watumiaji wa facebook. Facebook imejaa watu wasio na maana ukitaka kujua hilo angalia comment za facebook na twitter utaona utofauti wake.
Sasa penye watu wanaojielewa unaweza fanya kitu kikawa cha maana kwao na watakutafuta kila siku kwakua wanajua umuhimu wa kile unachokifanya. Tumia fursa hii kutengeneza pesa nzuri kila mwezi kwa kutumia mtandao wa twitter.
Swali je kivipi nitatengeneza hizo pesa? Usiwe na haraka soma kwa makini majibu unayapata hapa hapa.
Kwanza kama huna account ya twitter fungua sasa twitter.com kisha anza kufollow watu ambao unadhani wanasifa za kile unachotaka kufanya mfano kama wewe unataka kuripoti habari, news, anza kufollow account za televissions redio watangazaji na watu kama hao wanaojishugulisha na habari. Huu ni mtego wa kwanza unaotega ili upate followers wenye interest na habari.
Pili anza kuweka taarifa mpya kila baada ya saa. kuwajulisha wale wanaokufollow chochote kipya kinachotokea. Usihofu TCRA kutoa habari kwenye twitter huko hawana mamlaka ya kukuzuia kutoa habari ili mradi isiwe ya uchochezi. Si habari tu kama una kipaji cha kuchekesha anza kuchekesha kwa kuandika script za kuchekesha au kuweka picha za kuchekesha au rekodi video kwa simu yako na iweke kwenye account yako. Kumbuka kufollow watu au taasisi zinazofanya kitu ambacho na wewe unafanya au unataka kufanya.
Tatu anza kupambana kupata followers kwa hali na mali hata kwa njia ya uongo, mfano unaweza andika tweet kwamba “wiki hii natoa zawadi kwa followers wangu ambao watajibu maswali nitakayotoa hapa hakikisha unanifollow ili ufuatilie maswali hayo nikiyaweka.”
Tweet kama hiyo itakufanya upate followers wengi watakaouona huo ujumbe kupitia retweet utakazozipata. Ndio wapo watu wakiona tweet nzuri wanashare na marafiki yani wanaretweet kwenye account zao sasa ukibahatika kumpata mtu mwenye followers zaidi ya elfu kumi akaretweet habari yako ujue watu eflu kumi wataona ujumbe wako na watakufollow hata elfu 5 tu. Hapo sasa umaenza kupata harufu ya pesa.
Endelea kuwa mbunifu weka vitu ambavyo vitawashawishi watu kuituma tweet yako au habari yako kwa marafiki zaokwa kuretweet kwenye account zao. Ukipata followers elfu kumi sasa anza mbinu za kupata matangazo. Nakufundisha mbinu zote wala usihangaike kuumiza kichwa kwamba utafanyae kupata matangazo.
Sasa kama unaona akaunti yako haipati followers wengi kwa mbinu zako zote basi omba msaada kwa watalamu, mfano kuna akaunti ya jamiihuru hii akaunti inaishughulisha na kukuza akaunti za watu za twitter au intagram ili wapate followers wengi kwa haraka. ingia https://www.twitter.com/jamiihuru kisha ifollow na uulize namna unavyoweza kutangaziwa twitter yako na kupata follwers hata elfu kumi kwa siku moja.
Kazi ya kupata matangazo ni rahisi sana. Tengeneza tweet moja ya kukaribisha watu kutangaza biashara zao kisha ibane juu pale yani pin to the top. Anza kutoza pesa ndogo tu kwa tweet moja hata sh elfu 1000 tu kwa tweet. ukipata tweet 10 kwa siku una sh elfu 10 hii ni bora kuliko kuwa unachat vitu bure kila siku na kubaliza mb zako bure.
Hata usipopata matangazo ya kukulipa hao jamaa wa jamii huru wanakuunganisha na matangazo yao yaani ukifikisha followers 1000 wanakupa tweet kila siku na wanakulipa. Wao wana tweet za wateja kama wewe ambao wanataka kukuza account zao hivyo matangazo hayo yanawekwa na kwenye akaunti yako na wewe unalipwa.
Mitandao hii kwa sasa imekuwa fursa kubwa kwakua blog zimefungiwa kuandika habari, bloggers wengi wamefunga blog zao kuogopa agizo la TCRA kusajiri blog lakini page za instagram, twitter huko unapost unachojisikia hakuna kusajiri lakini usiandike habari za uongo au uchochezi.
Hapa nadhani sasa umepata mwanga wa kutengeneza pesa kwa akaunti yako ya twitter. Bado unaweza kuiuza akaunti muda wowote kama utapata followers zaidi ya 100000 ni rahisi sana kupata wateja. Wengi wameuza akaunti zao za instagram au twitter kwa watu wanaotaka kuzifanyia biashara kama hizi au kutangaza blog you tube channels au app. Kwa leo tunaishia hapa umesoma umeelewa sasa kazi kwako kutenda ili utajirike. Utajiri ni mbinu tu wala si uchawi.