Asikudanganye mtu eti kuna dawa za nguvu za kiume, Ni utapeli tu. Nguvu za kiume zinatengenezwa kwa vyakula ambavyo kila mtu anauwezo wa kuvipata tena bure au kwa pesa ndogo kama sh 100 tu.
Hapa utavijua vyakula vyote vinavyoongeza nguvu za kiume na vyakula vinavyoleta hamu ya tendao la ndoa yaani ngono kwa lugha nyingine.
Kumbuka ukimwi upo na magonjwa ya zinaa yapo, Ni bora ukajilinda na ukawalinda watu unaoshiriki nao ngono kila ukihitaji.
Embu fikiria mazingira haya, umeshafanikiwa kimaisha yaani una watoto, una mke au mume uliyemtamani maishani, una pesa una nyumba hala unaenda kupima ukimwi unaambiwa ndugu anza kuishi kwa matumaini umeathirika je utajisikiaje?
Hivyo kila unapompata rafiki wa kufanya nae ngono hakikisha unatumia kinga unazoshauriwa na watalaamu wa Afya na Wizara kwa ujumla, Ni vyema mkawa mnapiama ukimwi kabla hamafanya ngono.
Huwezi kuishi bila ngono kwakua ni hitaji la msingi kama ilivyo kwa chakula, Lazima utafanya ngono tu upende usipende, Sasa ili usikumbwe na matatizo ya kukimbiwa na mpenzi wako kwakua humrizishi kimapenzi yaani humfikishi kileleni unatakiwa kujifunza mapema vitu vya msingi amabavyo vitakufanya ufurahie ngono kwa kila utakayekutana nae na hutakimbiwa tena na mwanamke, Wapo wanaume ambao wamewapenda wadada fulani lakini baada ya kufanya nao mapenzi siku moja wadada hao hawaatamani kurudia tena ngono kwakua waliona ni kero tu badala ya kuwa starehee.
Maumbile ya mwanaume ni tofauti na mwanamke. Mwanamke anachalewa sana kufika kileleni mkiwa kwenye tendao la ndoa wakati mwananu hata ndani ya dakika 5 tu anaweza kumwaga na kuridhika wakati mnatakiwa mmalize kwa pamoja yaani atangulie mwanamke kukojoa ndipo manaume umalizie. Hii nayo inahitaji uelewa yaani utajuaje sasa mke wangu ndio anafika kileleni? Ni somo hili unatakiwa kufundishwa kama hujui. Basi endelea kufuatilia makala hii mpaka mwisho utajua vyote.
Ili uendelee kusoma na kujua vyakula ambavyo ukila leo mashine yako itasimama kama antena na kurudia tendo hata mara 5 ndani ya saa moja bonyeza share au tweet kisha itume kwenye facebook yako au twetter utaona makala imefunguka na utaisoma hapa hapa Karibu kuendelea na somo letu
SHARE TO UNLOCK THE CONTENT.
To Unlock, click share or tweet button below
Bonyeza share au tweet itafunguka ukimaliza kushare facebook au twitter
HONGERA Sasa unaweza kuendelea na somo letu mpaka mwisho, kabla hujaendea kuna matangazo macheche ya wadau wetu wanaotuwezesha kukuletea mafunzo haya hapa
ANZA KUJIAJIRI KWA KUMILIKI BLOG YA UHAMASISHAJI MAENDELEO AU UJASIRIAMALI.
Hakuna gharama za usaji wala za kulipia kila mwaka.
Blog yako itaunganishwa na matangazo ya biashara ya makampuni mbali mbali, au AdSense na watu binafsi. Utakuwa unalipwa kwa idadi ya wanaosoma blog yako mfano blog ikipata wasomaji laki 3 kwa mwezi unalipwa laki 3
Matengenezo ya blog ni sh elfu 19 Tu. Ukitaka App ni sh elfu 25. Tuma SMS Whatsapp 0652428852 kupata maelekezo zaidi na blog yako leo leo uanze kujiajiri kwa mitandao.
Baada ya wadhamini wetu sasa tunaendelea na somo
Vyakula vinavyokufanya ufurahie ngono na kumridhisha mpenzi wako
Pilipili, pendelea kula chakula ambacho kimeungwa pilipili mbichi. pili hizi zinapatikana sokoni au gengeni kwa sh mia tu au miambili.
Tafuna mihogo mibichi mara kwa mara japo kipande cha sh mia kwa siku. Mihogo inapatikana sokoni au magengeni inategemea na mtaa wenu
Kula asali mbichi kila siku japo kijiko kimoja. Asali inapatikana kwa wauza asali madukani, sokoni, au hata kwa wazalishaji moja kwa moja. Ni vyema ukaagiza asali toka kwa mzalishaji moja kwa moja yaani mmiliki wa mizinga ili kuwa na uhakika kuwa asali halisi na ambayo haijachakachuliwa. Kuna elimu ya kujua kama asali ni original au imechakachuliwa. Fanya zoezi hili chukua asali idondoshe kwenye vumbi ukiona tone la asali linajikusanya kama mpira au umbo la mviringo ujue hiyo ni original lakini ukiona inasambaa na kulowanisha vumbi na inazama kwenye vumbi ujue ina maji ndani yake.
Kula matunda kama parachichi, ndizi za kuiva, na tikiti maji. sasa kwa tikiti maji tafuna na mbegu zake usitupe mbegu. si lazima ule tikiti maji lote la elfu moja au elfu mbili nunua kipande hata cha mia mbili tu kwa watembeza tikiti maji mitaani angalau kila siku kipande kimoja.
Tafuna karanga mbichi, Kila siku unaweza kuwa una tafuta karanga za sh mia tu.
Tafuna Nazi, Simaanishi Madafu Nazi iliyokomaa ile akina mama wanatumia kuungia mboga au wali wewe mega kipande kidogo tu tafuta angalau kipande kimoja kwa wiki
Lamba unga wa mdarasini uliochanganywa na asali yaani chukua kijiko kimoja cha asali changanya na unga wa mdarasini kidogo kisha lamba kabla ya kufanya mapenzi kama saa moja kabla.
Kunywa maziwa ya ngombe, kula kitimoto kama wewe dini inaruhusu, kula mayai, kula vyakula vya mboga mboga kama kabechi ili kufanya mzunguko wa damu kupita vizuri hadi kwenye uume kwakua damu ndio inayohamasisha uume kusimama kupitia mishipa iliyouzunguka uume wako. Hii inambatana na mazoezi madogo madogo kama kukimbia kuruka kamba na kutembea umbali mrefu.
Mbinu ya kuchelewesha kumwaga mapema kwa mwanaume
Sasa ukiwa mwanaume rijali unaweza kuwa na tatizo la kukojoa mapema kabla ya kumfikisha mwenzio kileleni hili ni kosa kubwa sana katika mapenzi na ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu ya kutoridhishana kwenye mapenzi.
Kuna mbinu kadhaa za kumfanya mwanamke amwage haraka kabla ya wewe mwanaume kumwaga ili wote angalau mmwage kwa pamoja, Maumbile ya mwanaume yanaruhusu kumwaka shahawa hata kama hajaingiza uume kwenye uke hili ndilo linalofanya wanaume wamwage hata ndani ya dakika moja tu wakipata hisia. Hivyo mwanaume unatakiwa kujua mbinu za kutumia kuchelewesha kumwaga ambazo zimewekwa hapa chini
Fanya zoezi la kubana mkojo kila siku unapoamka asubuhi yaani unakoja kidogo unasitisha unakojoa tena unasitisha ghafla endelea na zoezi hilo mpaka mkojo unapoisha. Fanya hivyo kila siku mkojo wa kwanza unapoamka.
Wakati unafanya mapenzi uwe unampapasa mpenzi wako sehemu ya mbele ya uke hapo palipozunguzshiwa na wino mwekundu kwenye picha hapa chini taratibu kwa kutumia kidole chako cha 3 usimsugue kwa kutumia kucha hapana utamuumiza tumia upande wa kushikia vitu uwe kama unachora mstari kutoka juu kuja chini kutoka chini kwenda juu. Hakika lazima akojoe binti muda si mrefu.
Mpe maneno ya kimapenzi usiwe na aibu mbele yake, msifie kwa kutaja sehemu yake ya siri kwa maneno ya mtaani mfano Kuma, uchi wako mtaamu, umeumbika siwezi kukuacha maishani, matamu sana wewe.
Ukihisi kumwaga sitisha zoezi la kuingiza na kutoa uume kwenye uke lakini endelea kumpapasa sehemu uliyoshauriwa. Kisha baada ya muda tena anza. usikubali kumwaga kabla hujaona dadili hizi za kufika kileleni kwa mpenzi wako.
Hizi ndio baadhi ya dalili za mwanamke kufika kileleni
Wapo wanawake wanaoweza kukwambia kuwa sasa ndio wanapata raha yaani wanafika kileleni lakini wengi wanaona aibu hawasemi. Hapa ndipo mwanaume unatakiwa kuwa unaua baadhi ya dalili ambazo mwanamke anakuwa nazo wakati anafika kileleni, Dalili hizi hutofautiana kwa wanawake yaani mwingine anaweza kuonesha dalili fulani wakati mwingine hiyo dalili hawezi kuonesha.
Tazama mabadiliko yake jinsi mlivyoanza na mnavyoendea kufanya ngono, Wengine wanapokaribia kufika kileleni wanakaza miguu kwenye kitandanda au mikono anashikilia kwa kukaza kitu fulani au kukung’angania kwa kukubana kifuani, wengine wanalia au wanatoa sauti hawa ni wale wanaoweza kuropoka maneno ya utamu mnapofanya mapenzi. Wengine wanatetemeka, Kwakifupi huwezi ona dalili ya moja kwa moja kama anamwaka ukeni kwakua wao hawamwagi kiasi kikubwa cha maji maji ambayo yanaweza kukujulisha kwa kugonga uume wako ukiwa ndani ya uke. Lakini utaona kama uke haukuwa na maji ute ute mwingi muda huo kitu kama ute ute utaongezeka na uume utakuwa unateleza zaidi na kutoa sauti ya kama unatwanga maji kwa kinu vile. Na ukiona anahangaika hangaika badae akatulia ghafla na kutupa migono kitandani na kulala kimya ujue mission succeeded ameshamwaga hapo hapo na wewe vuta hisia msindikize kwa shahawa zako yenye joto zimpe raha zaidi. Namaanisha akimwaga na wewe mwaga muda huo huo na mmpumzike kidogo mkisubiri round nyingine.
Usikubali kuishia kuliwa pesa tu na wasichana kwakua siku hizi wengi wamefanya kama mtaji akitongozwa tu anaanza kukupiga mizinga ya hatari fuatilia mafunzo hayo uwe jemedari na umpate msichana yoyote bila kujari uzuri wake, ukali wake au utajiri wake utampata tu. Unakumbushwa ukimwi na magonjwa ya zinaa yapo si utani na watu wanakufa ihadhari. Tukutane kwenye kipindi kingine nakutakia mafanikio mema